Mafunzo ya kuandaa zabuni za Serikali

tubadilike-sasa

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
681
167
Mafunzo ya kuandaa Tender za Serikali


Vencha Corporation inakuletea mafunzo ya kuandaa tender za serikali zenye uwezo wa kushinda. Bajeti ya serikali ni Trilioni 32.4 na Trilioni 12 zitatumika kwa ajili ya maendeleo. Je wewe unafaidikaje na tender zilizo katika fedha ya maendeleo? Karibu kwa yafuatayo;

1. Mafunzo toka kwa mzoefu wa kuandaa tender za serikali kwa miaka 12+

2. Kujuwa namna ya kufanya biashara na serikali kwa mtaji mdogo wa Tshs.200,000/=

3. Kuunganishwa na Microfinance,SACCOS na Benki zitakazokupa mkopo kwa ajili ya kazi zako(LPO vs Loan).

4. Kuunganishwa na mafunzo ya ujasiriamali katika sekta ya yako.

5. Ushauribiashara,msaada wa maandalizi ya Business Plan au Project Proposal,Company Profile nk


Karibu ujifunze namna ya kufanya biashara kupitia tender serikali


Ada ya mafunzo ni Tshs.25,000/=
 
Namba ya simu,email,location ya ofisini zenu hujaweka,wala kipeperushi,sasa tutajuaje mnapatikana wapi?

Au ndio kampuni za PM?

It is really unprofessional this way!

Kuweni full ngwamba basi tuwaelewe!
 
Back
Top Bottom