Mafunzo ya karate

Tae kwon do ni nzuri kwa mapigano ya mbali ila katika close encounters,unaweza kuumbuka labda uwe na ujuzi mwingine kama jujitsu n.k
Mkuu unakosea. Kwenye Taekwondo kuna short and long range fighting. Kuna kila kitu sema inategemea unajifunza kama Nani.

Namaanisha kuna Taekwondo Kwa ajili ya michezo, kuna ya wanajeshi Na wanausalama, kuna ya nidhamu Na afya Na kuna kitengo Kwa bodybuilding.

Sasa uje Arusha Kwa Mwalimu Prosper Na Richard Kitolo mpate mafunzo.
 
Wakuu nahitaji kujua sehemu wanayotoa mafunzo ya Karate kwa ajili ya mwanangu. Napendelea iwe maeneo ya Kimara au Mbezi (Mbezi KwaMsuguri au Mbezi Mwisho). Nimefuatilia huu uzi kwa karibu. Nitashukuru kama nitapata contacts za sehemu zinazotoa hayo mafunzo. Iwe karate ya aina yoyote...but kama kuna options nyingi kwa maeneo hayo niliyotaja then nitashukuru kujua pia. Asanteni
 
Mbona tuliyopiga depo hakuna hayo mambo unayoyataja mweeh
 
We mkuu unataka mtoto wako awe mwanamichezo wa karate au mbinu za kujihami za martial arts? Kama ni michezo kuna madojo mikoa mingi hapa nchini lakini kama ni kujihami watu wapo wengi tu wanaweza wakamfundisha, tafuta maasikari wa jwtz hasa vijana kwani wengi wanaujuzi na kombati karate japo sio kwa raia, hizi ni ngumi za kijeshi zenye mchanganyiko wa mbinu za hand to hand combat. Hii lakini haitamjenga kijana wako kwani hii ni hatari, ni kupiga na kuua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…