Ujue mtoa mada umeongea kijumla mno,ngoja mi nikuulize unataka mafunzo ya kuitengeneza yenyewe au ni kama wanavyokuelekeza wadau hapo juu ????????? mana computer inavitu vingi mno kutegemea na fani uliyonayo
Hapana,ni kwamba mimi ni mgeni kuhusu matumizi ya computer hata yale ya kawaida kama vile microsoft words and exel,hivyo nilikua naomba msaada kama humu jf naweza kupata japo kama video zinazohusu kufundisha hizo course