Naomba kufaham vipi naweza kupata mafunzo ya computer humu jf
Naomba kufaham vipi naweza kupata mafunzo ya computer humu jf
Angalia video training unazohitaji hapa
www.alphonce.net
mkuu mi mwenyewe nahitaji kwani unatakiwa uanze na course ipi na uishie ipi nimekua interested
Sijaanza Bado ndo nataka nianze ila mi ni mtundu sanainategemea uko katika hatua gani, kama ndio unaaza mwanzo kabisa basi unahitaji kusoma basic office applications kama MS Word, MS Excel na Access
nimedownload Trial video zimegoma kuchezainategemea uko katika hatua gani, kama ndio unaaza mwanzo kabisa basi unahitaji kusoma basic office applications kama MS Word, MS Excel na Access
nimedownload Trial video zimegoma kucheza