Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,262
- 18,713
Nimeona clip police wakifundisha kwa vitendo sehemu ambazo watoto hawatakiwi kuguswa yaani matakoni, mbele pale makao makuu na kwenye saa 6 kifuani.
Ufundishaji huu kwangu mimi ni uhuni tu kwa sababu hauna tija zaidi ya kuelimisha tabia zisizofaa.
Watoto wanatakiwa kufundishwa haki zao, haki ya kuwa na maamuzi, kutoa ruhusa, kumoa mtu ruhusa etc.
Watoto wanatakiwa kufindishwa kwamba wana haki kukataa kushikwa sehemu yeyote ya mwili na mtu yoyote.
Sio tu matako, sehemu yoyote ya mwili haipaswi kuguswa kama mgusaji hajapewa ruhusa..
Watoto wanatakiwa kujua haki zao na haki ya kutoa maamuzi..