Mafunzo upande mmoja... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mafunzo upande mmoja...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by nasri athumani, Nov 22, 2011.

 1. n

  nasri athumani Member

  #1
  Nov 22, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hi wana jf nimekua nikitatizwa na suala hili, Kijana wakiume akitoke kumchumbia Binti wa kike mala nyingi nakawaida 2livyozoe bint wakike huwa anawekwa ndani kabla ya ndoa ili kufunzwa jinsi yakuishi na mumewe mtalajiwa, kwaajiligani huwa anangaliwa zaidi wa kike kupata elim hiyo huku wakimuachia wakiume japo atapewa baadhi yamambo lakini hatotiliwa mkazo kama wa kike?. nahaliakua kwa sasa wanaume wengi wako kwenye jangwa la kushawishika na madada ze2 na2mekua si waaminifu kwenye ndoa zetu zaid kuliko wao..?
  Hivi hili mnaliangaliaje kuhusiana na Elimu hiyo kupewaupenda mmoja Zaidi?
   
 2. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #2
  Nov 22, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  nasri athuman..nice n gud name.

  babu alisema MWANAUME NI TAASISI INAYOJITEGEMEA NA IPO FULL
  mwanamke ndo tegemez na AJAJITOSHELEZA SO VISEMINA ELEKEZ.TUITION ZA NDOA NA BRASH ZA MAHABA ZINAWAHUSU
  SANA....thou m nt conqur wth him bt ivo ndo alisema...sasa ukiangalia kwa makin utabain ao wanaojifanya awaitaji kufundwa ndo waitaj wakuu wa semina elekez cz wao ndo wadau wakuu wakuvunja misingi ya ndoa na weng wao hawajui majukumu yao ndani ya ndoa.

  nawasilisha.
   
 3. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #3
  Nov 22, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  baelezee bi dada bakuelewe!!
   
 4. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #4
  Nov 22, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Kiujumla hakuna maandalizi ya kutosha kwa wengi wanaoingia huku...........ndio mwanzo wa majanga mengi tunayoshuhudia na kusimuliwa
   
 5. n

  nasri athumani Member

  #5
  Nov 22, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thanxy hapo nimekupata!
   
 6. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #6
  Nov 22, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,700
  Likes Received: 416
  Trophy Points: 180
  Rose 1980 kamaliza kitu hapo.Nalog off
   
 7. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #7
  Nov 22, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,146
  Trophy Points: 280
  mala = mara
  mtalajiwa = mtarajiwa

  Na hayo maneno uliyoyaandika kwa kufupisha na kuweka hizo 2, hutumika kwenye sms za simu na si kwenye majukwaa kama haya. Jaribu kujirekebisha, maandishi ya namna hiyo kwenye majukwaa makubwa kama haya huwa yanakupunguzia hadhi yako.
   
Loading...