Mafundi wazuri wa external hard disk jijini Dar es Salaam

Mafundi wazuri wa external hard disk jijini Dar es Salaam

ILLUNGU

Member
Joined
Oct 12, 2015
Posts
35
Reaction score
7
External hard disk yangu haifunguki / haisomi nikiunganisha kwenye computer, naomba mnijuze tatizo ni nini na mafundi wazuri au wataalam wako wapi jijini DSM. Natanguliza shukrani
 
Cheki jamaa anaitwa JCS Computing, yupo Kariakoo. Namba zake ni 0754 686 910 na 0717 444 949
 
MKUU ubarikiwe, naomba wana JF wengine mnijuze walipo mafundi nguli wa external hard disk / computer na maduka ya vifaa / spea original za external disk / computer jijini DSM.
 
Pia mcheck huyu jamaa alishawahi kunisaidia sana nikiwa chuo - 0766507080 cku hizi yupo msasani karibu na CCBRT
 
Back
Top Bottom