Mafundi wazembe

Mm nikafikiri huyo fundi kakosea kajenga eneo la wazi kumbe kajenga ndipo kabisa safi sana na huo mshono ndio

Sasa kujenga eneo la wazi nimakosa? Maeneo yote kabla ya kujengwa lazima kwanza yawe wazi.
 
Kuzaliwa mwanaume shida/kazi sana Kasinde.Mleta picha anajua hivyo ndo maana katudanganya na vitofali!

Sikuwadanganya hapo ni kwangu na fundi nimegoma kumlipa kaenda nishitaki ofisi ya kata, na huyo msichana ni sekretari wa ofisi ya kata ameniletea wito kuwa nahitajika ofisi ya kata.
 
Last edited by a moderator:
Fundi kakosea sana vitofali vimekaa vibaya sana na havijasuguliwa
 
Hicho chekundu ndiyo kimewekwa mahali sipo.
 
Mtoto ana "alaji" kubwa..!

Imagine ako kwa bed with you !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…