mwepesi
Senior Member
- Jan 27, 2016
- 156
- 95
Ninamiliki pikipiki aina ya gsm 150..kulingana na safar zang, speed yake hainirizishii. je kuna uwezo wa kuongeza capacity ya engine?? au je kuna engine zinazoingiliana na hizi pikipiki zenye uwezo mkubwa katika speed?? Naomba kuwasiliana na yeyote mwenye kuweza hayo