Mafundi nguo walalamikia Matumbo makubwa ya Wanawake

Mafundi nguo walalamikia Matumbo makubwa ya Wanawake

Huyo fundi nae hana lake jambo, utakoseaje vipimo?
 
Kuna fundi nguo amehojiwa na ITV leo na kutaja tatizo kubwa linawalowakabili mafundi wengi ni matumbo makubwa waliyonayo wanawake, ambayo husababisha vipimo kukosewa wakati wa kushona.

Ushauri:Kina dada fanyeni mazoezi mpunguze matumbo. Mchana mwema.
Sheeedaah
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    18.2 KB · Views: 149
Kweli kbs, wanawake wa now days matumbo yanawaharibu sn. Huwa najiuliza yanatoka wap? mbona wazamani hawakuwa nayo?
 
Kweli kbs, wanawake wa
now days matumbo yanawaharibu sn. Huwa najiuliza yanatoka wap? mbona
wazamani hawakuwa nayo?

mkuu wanawake hasa wasichana siku hizi wanakula hovyoo hawana nidhamu na chakula kbbisaaa
 
Huyo ni fundi jina tu naona aliingilia fani za wengine, akalime tu kwenye jembe hakuna matumbo au viuno vikubwa. Lakini mbona hasemi kuhusu makalio yao? Huo sio fundi kabisa.
 
Jumatatu najiandikisha VETA kuchukua kozi ya ufundi. Nitafurahi sana kuwapima kina dada wanene. Naahidi sitalalama hata wakija wenye vijungu kwa mbele na nyuma
 
Back
Top Bottom