Mafundi it acheni wizi

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,379
sio siri wana2nyanyasa ki2 kidogo 2 bei juu tena ukija kuchukua top yako vifaa wanakubadilishia kama hawana akili nzuri una 4gb ram unakuta 512 mb kama mshamba ndo utaamin wanakwambia eti virus vilibadilisha size
 
Ni kosa lako kupeleka kwa mafundi uchwara! Kuna professional places za kupeleka.
Ndio hivyo tena cheap is expensive. Vumilia tu but next time tafuta pros!
 
sio siri wana2nyanyasa ki2 kidogo 2 bei juu tena ukija kuchukua top yako vifaa wanakubadilishia kama hawana akili nzuri una 4gb ram unakuta 512 mb kama mshamba ndo utaamin wanakwambia eti virus vilibadilisha size
:lalala:
 
Siku nyingine useme tu hapa tatizo lako kuna mafundi wa computer zote kutoka kote duniani wakishindwa watakuelekeza pa kwenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…