Mafua na Kikohozi unapokua usingizini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mafua na Kikohozi unapokua usingizini

Discussion in 'JF Doctor' started by akohi, Sep 14, 2012.

 1. akohi

  akohi JF-Expert Member

  #1
  Sep 14, 2012
  Joined: Jul 13, 2012
  Messages: 761
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 60
  Habari zenu wataalamu,
  Nimekuwa nikijiuliza sana kuwa inakuwaje mtu hata kama umebanwa mafua vipi au kikohozi, yaani unapolala isingizi tu na yenyewe yanakata hata kama yalikuwa yale yanayochirizika yenyewe ila mara tu unapoamuka tu...ndo shuguri inaendelea
   
 2. Mawenzi

  Mawenzi JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mmmmmhhhh!!! Hii experience ni unique kwako tu Mkuu! Haitokei kwa wengi
   
 3. Mkali Tozz

  Mkali Tozz JF-Expert Member

  #3
  Sep 14, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 279
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwamaoni yangu, mimi naona ni kinyume chake, usingizi hukujia tuu mara upatapo nafuu ya mafua au kikohozi.Ndio maana kuna watu husema jana sikupata usingizi kwasabau ya mafua na/au kikohozi!
   
 4. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #4
  Sep 14, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  leo kazi ipo...haya wataalamu akohi ndo huyo kaja na matatizo lukuki...
  lazima mrudi vyuoni,,,kuna kozi mtakua mmeiacha...maana hamtoi majibu wajameni
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Mawenzi

  Mawenzi JF-Expert Member

  #5
  Sep 14, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mkali na Tozz na mimi hapo juu tumetoa jibu
   
 6. akohi

  akohi JF-Expert Member

  #6
  Sep 18, 2012
  Joined: Jul 13, 2012
  Messages: 761
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 60
  Au ndo wamegoma tena japo nimesikia wanaapa hawatarudia mgomo hahaha...these guys are f***ked up
   
Loading...