Waitu, unajua sometimes tunajaribu kuzitupia kwa style hiyo inakuwa haikuji.Siku nyingine wekeni picha kwa mtindo huu, sio kwa atachment.
Mzee, hapa ni Nairobi wakati wa peak hours, yaani Dar cha mtoto bora uende kwa mguu, best inakubidi utembee na kopo la panadol manake kichwa kitagonga dunia nzima!Bongo naona cha mtoto, hii ni Nairobi
Karibuni huku mikoani jamani hakuna foleni wala hatubanani