Mafisadi wanaojenga Nchi

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
http://www.dubai-architecture.info/DUB-GAL1.htm

Yaani kuanzia 1990 kabla ya hapo ni jangwa tu ,je sisi Tanzania tunaowakilisha utoaji wa madini ambayo ni ghali kuliko madini mengine yeyote punje ndogo tu ya Almasi au Tanzanite ina bei kuliko barrel la mafuta yasio safishwa na Dubai haichimbi mafuta msije kusema wanategemea feza ya Mafuta yaani hata gesi waliyonayo basi ni kidogo sana.
Haya ni maendeleo makubwa na ya kupigiwa mfano hata mafisadi wetu nasikia wana miradi huko.
 
Kuna tetesi kwamba hizo Palm Islands za dubai Soil yake was provided by Caspian Construction Tanzania, any truth in that???
 
Kuna tetesi kwamba hizo Palm Islands za dubai Soil yake was provided by Caspian Construction Tanzania, any truth in that???

Ninavyojua ni kwamba Caspian walipewa/walipata contract ya kufanya haulage ya huo udongo. Walipataje sijui!
 
Back
Top Bottom