Mafisadi sasa wanatamba

Unitman

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2021
Posts
665
Reaction score
956
Habari wadau

Hivi pesa wanazotumia vilabu kama Singida big Star na Yanga ni fedha halali??

GSM anadhamini vilabu zaidi ya 10 hizi fedha wanazitoa wapi?? Hatujawahi kusikia huyu GSM ameita vyombo vya habari na kuweka bayana ufadhili wake kwa Yanga.

Waweke vyanzo vyao vya fedha ili Umma ujue na kwa timu ya Singida nina wasiwasi kuna fedha za serikali zinachotwa na huyu mwambaa anayekopa na kupambana kukuza deni la CCM.
 
Kiukwel nchi hii inaendeshwa kishetani sana bado huyoo bi kidude mpango wake n kuwarudsha wajomba watwae pwan had mogadshu nchi maskin timu maskin wanasajiri kocha kwa mamilion ya noti n WIZI MTUPU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…