Mafisadi ni Vichaa -Nape | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mafisadi ni Vichaa -Nape

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Makupa, Mar 18, 2012.

 1. M

  Makupa JF-Expert Member

  #1
  Mar 18, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,741
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Katibu mkuu wa uenezi wa ccm amefananisha watuhumiwa wa ufisadi sawa na vichaa
  SOURCE: Tanzania Daima ya leo ukurasa wa kwanza
   
 2. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #2
  Mar 18, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,889
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Tumechoshwa na kelele zake huyu, hana lolote mbele ya mafisadi.
   
 3. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #3
  Mar 18, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Aendelee kujipotezea mda
   
 4. chitalula

  chitalula JF-Expert Member

  #4
  Mar 18, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,307
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Anadhungumzia mafisadi wapi tena? kwani ufisadi si umeisha ccm au? naomba mwenye taarifa za kina anipatie hapa
   
 5. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #5
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,524
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  hapana. kichaa hajui alitendalo na
  hawezi kuwajibishwa kwa vitendo vyake. mafisadi wanajua walitendalo na tunataka wawajibishwe kwa waliyoyatenda.

   
 6. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #6
  Mar 18, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,486
  Likes Received: 1,847
  Trophy Points: 280
  Mafisadi wanaendeshwa ndani ya cruiser v8,nae pia anapanda v8.tofauti ipo wapi?awaseme hadharani kama mengi,slaa
   
 7. Matunyengule

  Matunyengule JF-Expert Member

  #7
  Mar 18, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 701
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Huyu kijana Nape hawawezi mafisadi siku 100 bado hazijaisha? Ni mnafiki tu na mroho wa madaraka. Historia yake ya kisiasa inaenda kukoma 2015 baada ya hapo jina hilo litafutika kama la Mzee Makamba na Mangula. Kama angekuwa na ubavu serikali yake ndio inayoongoza nchi na chama tawala wanayo dola yote kwa nini wameshindwa kufanya chochote. Ameishiwa huyo dogo.
   
 8. Escobar

  Escobar JF-Expert Member

  #8
  Mar 18, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 577
  Likes Received: 213
  Trophy Points: 60
  Nape mdogo wangu, nakushauri ujifunze ukimya maana kauli zako hakuna hata moja iliyowahi kuwa real. Mara tunawapa siku 100, mpaka leo ziiii. Tumewapa muda wajipime, kwanza hao mafisadi ni kina nani maana naona kama mnapigana na kivuli chenu wenyewe au ndio mambo ya kuby time ili watanganyika wasahau? Mmechemka vibaya bora ukae kimya kaka ubakize shughuli zako za kawaida ndani ya chama maana huku nje huna ushawishi tena kama huamini jifanyie tathmin
   
 9. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #9
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,408
  Likes Received: 696
  Trophy Points: 280
  Namsikitikia sana NAPE, haoni wenzake Ole Sendeka na Anne Kilango wameshapiga kimya.

  Hivi Kweli Nape Anaifahamu ile list of shame iliyotolewa na CDM pale Mwembe Yanga mwaka 2007?

  Nani wale tena.... Ndo vichaa au wengine...
   
 10. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #10
  Mar 18, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,148
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Another crapp from the stupidest leader in ccm
   
 11. v

  vngenge JF-Expert Member

  #11
  Mar 18, 2012
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 360
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Yeye ndo chama chake kimeshika dola alafu analalamika mafisadi wengine wsio na dola wasemeje?, kwanza afafanue nini maana ya ufisadi, nani fisadi na fisadi anastahili adhabu gani. Kusema saaaana bila vitendo wakati ww ndo umeshikilia dola inafika mahali watu hawakuelewi
   
 12. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #12
  Mar 18, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,489
  Likes Received: 429
  Trophy Points: 180
  Nimeifurahia hiyo superative ya stupid!!!!
   
 13. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #13
  Mar 18, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,331
  Likes Received: 3,538
  Trophy Points: 280
  Nape ni jogoo wa shamba, hawezi kuwika mjini...

  Kama mwanaume aende uwanja wa mapambano kule Arumeru akakutane na wanaume wenzake sio kwenda kwenye viwanja vya mchangani kwenye mechi za kitoto
   
 14. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #14
  Mar 18, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  If " fisadi = vichaa" we know nape = kichaa therefore nape = fisadi as well, te te te kwi kwi kwi .........
   
Loading...