saleni
JF-Expert Member
- Apr 6, 2019
- 1,879
- 2,859
Chawa wa mama hamjulikani na chama, Yule kiongozi wa ccm alisema, mi ccm na kadi ninayo yazamani na electronic, Ila mazuri tusifie na mabaya tuseme.Sisi Chawa tunatetea Chama chetu cha Mapinduzi kwa moyo wa uzalendo hatuhitaji malipo kama vijana wa mbowe