MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,185
- 24,051
Lowassa atakuwa mgombea wa Urais kupitia CHADEMA 2015.
Hii ndio post yangu ya Mwaka....
Mkuu huyu Lole Gwakisa namvulia kofia, ametabiri tunayo yaona leo miaka minne iliyopita!!!
Hivi ni sahihi mtu kuharibu nyumba yake kwa makusudi na kisha kuhamia nyumba ya jirani. Mimi ni mwana ccm tena ukimichanja damu yangu ni ya ccm. lakini nasema hivi wanao dhani ccm ni mbovu wao ndo wabovu na wahame wote watuachie chama chetu tubaki wapenzi na watu tulio jazwa na misingi na sera nzuri za chama cha mapinduzi tuendelee kukiboresha. Kishinde kisishinde sisi hatung`oki. Watatukuta wakiharibu huko waliko kimbilia, najua watarudi tena baada ya sisi kukisafisha.
Hii ndio post yangu ya Mwaka....
Asante GT!!Hii ndio post yangu ya Mwaka....
Chimba chimba mkuu.Kwanza mtoa Mada unajielewa kwel kama unajielewa basi umekulupuka hivi List mafisadi unaijua ungekaa kimya kama unaijua wapo wangapi
Una ushahidi na hayo mabilion aloingiziwa mh.mboye,na kwa madhumun hayo uloyataja mkuu?
Mboye?
Ushahidi upo soma article vizuri mpaka namba za akaunti na majina ya kampuni yanapatikana!
umekalia ----- muwasho tu unakusumbua. Unaona Silaa(Dkt wa Ukweli) ni wa kukaa na fisadi meza Moja?