majata
JF-Expert Member
- Oct 7, 2010
- 428
- 250
Huu moto wa dowans unadalili kubwa sana kwa mustakabali wa nchi yetu, nimepita kama maeneo matatu nimekuta mjadala mkali sana wa raia kuhusu maandamano na hatima ya isue ya dowans, kwa mtazamo wangu ritz1 na mafisadi wengine waanze kukimbia nchi maana muda wa hukumu yao umefika tayari.