Mafikizolo kufanya collabo na Diamond

heaven on desert

JF-Expert Member
Jan 25, 2013
1,025
393
IMG-20140610-WA0018.jpg


IMG-20140610-WA0016.jpg


IMG-20140610-WA0019.jpg

Hatua nyingine ya mziki wa TZ inaenda kupigwa..diamond na hata sisi hatukufahmu kumbe diamond anachukuliwa hadi na wasanii wakubwa kama msanii mzuri kabisa ambae wakifanyz nae collabo,mziki wao utafanyz vizuri,mpaka juzi kabla ya tuzo mafikizolo walipomwomba diamond abaki wafanye nae wimbo,kumbuka diamond alitakiwa arud nyumba jumapili lakini wao walilipia gharama zote za kuendelea kubaki mpka nyimbo ifanyike,na kazi imefanyika,diamond mpka anenda studio hakua ameambiwa wala kujua idea ya wimbo,katungia mashairi mule mule studio, na pale alipoingiza sauti mafikizolo wenywe wakakubali kweli kijana yupo vizuri,hii inatoa mwanga na picha nzuri kuwa mziki wetu taratibu utafika tutakapo ufike, zamani tulizoea akija msanii mkubwa tunatafuta upenyo na kubembeleza kufanya collabo rakini sasa mambo yamebadilikaa,Diamond sasa anatafutwa na wasanii wakubwa.

Kumbuka pia kuna collabo na iyanya ipo soon,na kuna collabo nyingine za wasanii wakubwa tu nigeria na west kwa ujumla ambazo bado zipo stoo na zingine ziko mbion kukamillika.THATS MY BOSS N AM PROUD OF HIM.
usipitwe na picha za matukio ya kila siku ya diamond na wasafi kwa kufollow IG page, ya wasafi @ wcb_wasafi ,pia page yangu ya @ Kifesi
na www.thisidiamond.com


 
jamaa kwa kweli anapiga kazi na huyo ndie atakaye utangaza mziki wetu ila kwa hawa wengine mh! Sielewi
 
Hongera sana. Japo kuna watu nao wanajiita watanzania wakati me naamini ni wakimbizi masalia karibia waje kutoa mapov soon ila mzalendo wa kweli lazma awapongeze kwa juhudi zenu.
Kaza buti,weka pamba masikion no kusikiliza maneno ya kukatishana tamaa.
 
Hongera sana. Japo kuna watu nao wanajiita watanzania wakati me naamini ni wakimbizi masalia karibia waje kutoa mapov soon ila mzalendo wa kweli lazma awapongeze kwa juhudi zenu.
Kaza buti,weka pamba masikion no kusikiliza maneno ya kukatishana tamaa.

Thanx arola54
 
Last edited by a moderator:
Mafikizolo wenyewe na hao wanamuziki wa kinaijeria unaowaita wakubwa nyimbo zao mbaaya, mi naona makelele tu.
 
Much congrats kwa bosi wako mwambie sasa hivi ajitahidi kuconcetrate kwenye mziki wake anaweza kufika mbali zaidi ya hapo
 
keep it up diamond,tufikishe pale ambapo watangulizi wako kwenye game wameshindwa kutufikisha.
 
Title ===> Picha-ndoto ya mafikizolo kufanya
collabo na Diamond yatimia
 
Davido mpaka ajambe,wera weraaaaaaaaaa naamini siku moja atapata tuzoo
 
Back
Top Bottom