Mafia tumepata usafiri wa uhakika sasa

Mafia tumepata usafiri wa uhakika sasa

chongoe

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Posts
1,223
Reaction score
2,975
Meli imewasili tarehe 30 mwezi wa kwanza 2021 japo ni wajibu wa serikali ila kwa hili ahsanteni sana.

FB_IMG_16120353998643975.jpg
FB_IMG_16120353935084956.jpg
FB_IMG_16120353849295327.jpg
IMG_20210130_181540.jpg
 
Inatoka Mafia kwenda Dar au Inafika wapi?? inatumia muda gani? mafia pazuri
 
Yani magu kaharibu sana Nchi yani meli iliyonunuliwa kwa kodi za Wananchi wote inaandikwa slogan ya CCM ya hapa Kazi tu!.
 
Sitokuja kusahau wakati boti inapigwa na wimbi mpaka unatamani utoke nje ukimbie.
Ukichangia boti ni za mbao tu zilizoungwa pamoja na mabati.

Hiyo meli angalau itashawishi watu kuja kutembelea huko mafia.
 
Kama nyingi sana hiyo NAULI kulingana na hali ya KIFEDHA kwa sasa na ukizingatia ni Serikali ya Wanyonge au imekuwa Wanyongwa?
Nauli imepungua sana wale jamaa wa mbao walikuwa nauli 16000.

Hiyo 5500 ni pesa ya maharage.
 
Back
Top Bottom