Mafanikio ya mwanaume!!

Dah....yani umesemakweli kabisa...mpaka wajione wao ndo wenye bahati kumbe movie ilishaandikwa cast tu ndo hajakamilika!!!Lolzzz!Embu fanya fasta huo mpango bibie.....

Ndo tunarudi pale pale kwenye hii Thread,,, Gentle push, anatoa wazo anafikiri yeye ndo kalitoa kumbe umempandikiza ... LOL ... akija unajifanya hata kusita kama unafikiria kumbe ......
 
Dearest sikuelewi tangia utoe ile thread yako nimekuomba feedback umegoma kunipa.....sasa hao ma bachelor wa kwa kina Asha,tukidondoka dimbwi moja naomba uwe tayari kuniachia......kwanza we bado mdogo....:third:

Mpaka hujasikia nikisema kitu dearest jua ni habari mbaya!!!Ile tupotezeee....sasa twende kinadharia zaidi kwa dada Asha tukaangalie kama bado tunakubalika!!! Mhh ikitokea itabidi niwe mdogo mtiifu!!Heheheh
 
Ndo tunarudi pale pale kwenye hii Thread,,, Gentle push, anatoa wazo anafikiri yeye ndo kalitoa kumbe umempandikiza ... LOL ... akija unajifanya hata kusita kama unafikiria kumbe ......

una akili sana Asha....can't wait to see you..:happy::happy:
 
Tunakubalika bado dearest usiweke doubts....tuombe yawe salama manake sitaki uninunie after that event....:caked:
 
Kumbe mawazoni uko hatua mbili mbele!!
 
good idea...utampata tu wako nikishampata wangu....:bange:

LOL ...Nyie warembo guys wako watatu, wote viwango.... msijali - na nikikwambia kua ni kiwango I mean it.... mmh but kwa upande mwingine au ndo mnapenda wale ma HB mno mpaka anakushinda mtoto wa kike?
 
Hahahahha....mwanaume wakugombania nae kioo tutapeleka wapi sie jamani???
Tunatakahandsome....sio pretty bwoiz bwana!!!
 
LOL...Umenifurahisha.... Alafu na wewe umegundua wanatumia sana vioo eeeh?
 
waweza kuwa hata kumi tukampenda mmoja...kwa kuwa mimi ni mkubwa kuliko Lizzy ndo tumekubaliana kama ikitokea tukaangukia dimbwi moja,yeye aniachie tu mimi manake umri umekwenda....:bange:

Good Night dearest Lizzy and Asha....see you!
 
Sasa Lizzy mbona unaonekana mtaalam na unakataa hutaki mume, mana a lady anaejua sauti ina nafasi gani katika mahusiano ina maana tayari unaweza handle mume.... Ile dinner nilosema nitaandaa mapema iwezekanavyo

Nimekupata... LOL..Tafadhali hako ka RED utakakokatupia hakikisha unaachia breathing space walau kidogo, si unajua tunaalika wale rafiki zake bachelaz ina maana huby atakuwepo - mume wangu nae ana macho Lizzy, lakini ngoja nitafute solution.....

Hehehe...ntahakikisha sizidishi kipimo ili nisije nikapata mwaliko ya kua nyumba ndogo!!!Hao bachelaz hao...naweza kuwapa chakuangalia hata siku nyingine!!

Lizzy naomba unipitie twende dinner kwa Asha,nitavaa kale ka gauni kangu ka RED tulikonunua wote..please do not dissapoint me.:bange:

LOL...Michelle wapo wa kutosha... mradi tu mjipange ma impressions....

I will not dissapoint....l.o.l.......Thank you :happy:

Hehehehhe....dearest usisahau kamkanda keusi kuongeza nashki!!Ila nahope hatutaangukia kwenye dimbwi moja!!!

:welcome: Its a pleasure''''

Dah....yani umesemakweli kabisa...mpaka wajione wao ndo wenye bahati kumbe movie ilishaandikwa cast tu ndo hajakamilika!!!Lolzzz!Embu fanya fasta huo mpango bibie.....

Ndo tunarudi pale pale kwenye hii Thread,,, Gentle push, anatoa wazo anafikiri yeye ndo kalitoa kumbe umempandikiza ... LOL ... akija unajifanya hata kusita kama unafikiria kumbe ......

Mpaka hujasikia nikisema kitu dearest jua ni habari mbaya!!!Ile tupotezeee....sasa twende kinadharia zaidi kwa dada Asha tukaangalie kama bado tunakubalika!!! Mhh ikitokea itabidi niwe mdogo mtiifu!!Heheheh

una akili sana Asha....can't wait to see you..:happy::happy:

Tunakubalika bado dearest usiweke doubts....tuombe yawe salama manake sitaki uninunie after that event....:caked:

Kumbe mawazoni uko hatua mbili mbele!!

Lolzzz dearest...nta :A S cry: tu yaishe!!

Nakwambia there no other way ya kuishi na kaka zetu bila kua hivyo.... hasa kama unampenda

good idea...utampata tu wako nikishampata wangu....:bange:

LOL ...Nyie warembo guys wako watatu, wote viwango.... msijali - na nikikwambia kua ni kiwango I mean it.... mmh but kwa upande mwingine au ndo mnapenda wale ma HB mno mpaka anakushinda mtoto wa kike?

Hahahahha....mwanaume wakugombania nae kioo tutapeleka wapi sie jamani???
Tunatakahandsome....sio pretty bwoiz bwana!!!

LOL...Umenifurahisha.... Alafu na wewe umegundua wanatumia sana vioo eeeh?

waweza kuwa hata kumi tukampenda mmoja...kwa kuwa mimi ni mkubwa kuliko Lizzy ndo tumekubaliana kama ikitokea tukaangukia dimbwi moja,yeye aniachie tu mimi manake umri umekwenda....:bange:

Good Night dearest Lizzy and Asha....see you!
:ranger::ranger::ranger:
 
Lizzy, whoever told that hakuwa mkweli na ana chembe nyingi sana bado za kukosa imani na wanaume... as long as the support given is genuine with no masimango, every man would be proud of his wife/partner support

I am very proud of the support i receive, and i say it loud to people who ask
 
hahahaaaaaaaaaa.... wewe sasa unatafuta bifu na supa darling, ngoja aku-PM uone

ubavu wangu nao umeingia humu basi nidhamu tele aisee, kama papa yohane:second:
Ila akiona hii "..... Super darling!!! " lazima hakikishe unampa clarificaton kuwa it is meant for whom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…