Mafanikio ya jamal malinzi

Mafanikio yake mhhh.

1. Kamfungia ndumbaro maisha.

2. Rais anayeongoza kwa kamati zake za nidhamu kuwashika Simba uchawi. Kawapiga sana mikia faini kwa kuloga.

3. Kavuruga timu ya taifa amejikita sana ktk jezi utafikiri Taifa stars ni timu ya Mitindo na sio Soka.

4.............................. Ongezeeni
 
Nafikiri ni Jana nilisoma mawazo yake twitter...alitwit...moja ya jambo analojisifia eti kufanikiwa kuonesha mechi za Taifa starz live zaidi ya kumi na mbili.....labda mafanikio mengine ni kupeleka timu ya maboresho tukuyu...
 
Mm napendekeza uyo malinzi ajiuzulu tu uongoz mbovu km nn
 

Sasa hyo namba 2 na 4 umeziweka za nn ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…