Mafanikio ni jinsi unavyojiona mwenyewe

Daniel Mbega

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
338
180
mafanikio.jpg

MTU yeyote akitaka kujiona jinsi alivyo atakimbilia kwenye kioo na kujitazama ama atapiga picha kwa kamera na kujitazama ama kumuomba mchoraji amchore ili ajione jinsi alivyo.

Kuna picha mbili kuu, picha ya nje na picha ya ndani. Picha ya nje ni rahisi kuiona, inaonyesha muonekano wa nje wa mtu, sura na vingine vingi, lakini picha ya ndani ni jinsi ambavyo mtu anavyojiona moyoni mwake ama ndani yake kuna nini mbali na muonekano wa nje.

Kumekuwa na mijadala juu ya mtu halisi ni yupi, ni yule anayeonekana kwa nje au kwa ndani. Ndani ya mtu kumewekwa vitu vya thamani, vya pekee na vya ajabu havionekani kwa nje ni kama kasha la mkanda wa video, lakini video yenyewe iko ndani.

Kwa habari zaidi, soma hapa=> Mafanikio ni jinsi unavyojiona mwenyewe | Fikra Pevu
 
Back
Top Bottom