Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 897
Jamani mimi nililipia subscription ya maisha toka 2006
Videos, documents kila kitu kimeondoka
naomba mtujuze whats the alternative
Pia namshauri Invisible atuletee contigency plan just incase
siwezi kutumia Rapidshare either
Hackers attack after Megaupload arrests - YouTube mkuu tizama hii clip ujue kinacho endeleaJamani mimi nililipia subscription ya maisha toka 2006
Videos, documents kila kitu kimeondoka
naomba mtujuze whats the alternative
Pia namshauri Invisible atuletee contigency plan just incase Anonymous
siwezi kutumia Rapidshare either
pole sana mku...vita hii makucha ya serikali hawawezi kushinda hata siku moja.....hata kama kim dotcom na wenznie watakaa jela maika 20 lakini huku nje kuna wakina kim kama laki milioni elfu......nimeona hacker mmoja keshaijeruhi fbi na universal studioJamani mimi nililipia subscription ya maisha toka 2006
Videos, documents kila kitu kimeondoka
naomba mtujuze whats the alternative
Pia namshauri Invisible atuletee contigency plan just incase
siwezi kutumia Rapidshare either
Mungu hayumo katika legal battles za online file sharing, hayo mafaili most likely ndio imetoka, hakuna cha kuomba Mungu hapo. Niliwahi kuandika hivi siku za nyuma:shutdown haimaanishi mafaili yamepotea. Ni kuomba Mungu waachiwe
ndo hayo sasa, li website limefungiliwa mbali, ma data ya watu jiiii!Halafu hayo ma server ya Marekani hayo kuna siku Justice Department ita subpoena ma data ya hilo li kampuni na ku compromise my personal info, who needs that?
and who do you think you are? The best way to silence a computer is switch it off, then it will understand what it is!Mungu hayumo katika legal battles za online file sharing, hayo mafaili most likely ndio imetoka, hakuna cha kuomba Mungu hapo. Niliwahi kuandika hivi siku za nyuma:
Mungu hayumo katika legal battles za online file sharing, hayo mafaili most likely ndio imetoka, hakuna cha kuomba Mungu hapo. Niliwahi kuandika hivi siku za nyuma: ndo hayo sasa, li website limefungiliwa mbali, ma data ya watu jiiii!
Hayo mafaili hayarudi tena, yasahau tu.
Tatizo jamaa wameingia anga za wenyewe, sasa wamekasirika.
kwa hiyo unataka kuseme jamaa hawakua wanafanya hata backup. Nia imani itabukia hata nchi nyingine kwa jina lingine na baadhi ya files za watu watazipata kama zilivyouwepo kwenye megaupload. Jus wait.
Na wanadai wako kazini kurudi back again sasa wanahamia Uholanzi .
MEGAUPLOAD IS BACK, NEW MEGAUPLOAD SITE - The leading online storage and file delivery service -
It was the same with piratebay