Mafagio ya lowasa mnatia bidii

Sipati picha kama Wasira akiwa Rais,Mmh....hiyo sura nahis Waziri akikosa inabidi akimbie kabisa kabla hawajaonana,ngoja tuone mwisho wake maana hapo lazima apatikane mmoja.
 
Sipati picha kama Wasira akiwa Rais,Mmh....hiyo sura nahis Waziri akikosa inabidi akimbie kabisa kabla hawajaonana,ngoja tuone mwisho wake maana hapo lazima apatikane mmoja.

hivi kumbe huwa tunachagua sura!!!???
amakweli watz bado tuko nyuma sana
 
yaani hata kabla ahadi tulizopewa kwenye ilani ya 2010 hazijatekelezwa, watu wako busy na uchaguzi 2015! kweli nimeamini safari moja huanzisha nyingine...
 
Wote hapo hamna k2, ila nape ndio ziro kabsa kura yangu na effort zangu nitazielekeza hata kwa DOVUTWA nijue moja.
 
Back
Top Bottom