Ni dalili tosha kwambaKama JK atashindwa Kumuaondoa lowasa kwenye CHAMA.ni wazi ccm inapoenda ni kwenye shimo.Lowasa anakivuruga chama kupita vyombo vya habari.Mfano gazeti la JAMBOLEO ,MTANZANIA,RAI na TZDAIMA ni moja ya magazeti yanayokiboma ccm.
baadhi ya wanasiasa hata wa CDM wamjiwekeza kwa LOWASA.hii inakipa wakati mgumu wa CCMkama utaangalia midahalo mingi kupitia tv zetu, wachangiaji wengi wanaiona ccm kama mzigo laufisadi .wanaopiga simu wengi huiponda ccm na kuona kinaogopa watu na kuzidi kuididimiza ccm kwa wananchi.
Endapo atataokea kiongozi wa CCM kwenye mdahalo huo,basi anatakiwa awe na subira za hali ya juu.Hya ni wazi ni matunda Ya JK Kukumbatia Lowasa.
kama lowasa atadumu katika Chama, tunakoenda ni giza nene litatokea.wafuasi kama MALARIA SUGU itabidi waasi chama.CCM yetu bado inapendwa sana ,wanaokivuruga ni wanasiasa wachache LOWASA na Kundi lake.