Maeneo yapi yanafaa kujenga kwa sasa Dar es salaam

mezamate

Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
40
Reaction score
10
Habari za saa hizi wanajamii forum,
Mwenzenu natafuta eneo la kujenga kibanda changu cha kuishi na familia yangu,naombeni ushauri wapi naweza kupata kiwanja kwa bei nafuu.Pls pia ningependa kujua gharama za kiwanja kwa eneo husika.
 
Hakuna,utapata vichochoro tu, funguka pwani upate eneo kubwa,kisarawe,bagamoyo,kibaha,mkuranga,mji unavutika kuelekea maeneo hayo.

Lakini kuna assumption hapo with money...dar unaeza kununua eneo lolote ukavunja ukaweka nyumba yako.
 
Jiji hilo kwasasa limejaa labda uje Kibaha
Vigwaza,Chalinze hadi Moro
 
Habari za saa hizi wanajamii forum,
Mwenzenu natafuta eneo la kujenga kibanda changu cha kuishi na familia yangu,naombeni ushauri wapi naweza kupata kiwanja kwa bei nafuu.Pls pia ningependa kujua gharama za kiwanja kwa eneo husika.

Njo pugu nikuuzie kiwanja changu tena kwa upendeleo kipo pugu kwa rahisi my no 0712918110 fanya fasta kipo sehemu nzuri sana
 
Kuna jamaa wananiambia Kigamboni mbele ya geza ulole kuna maeneo, na pia mbezi juu goba.
Vp maeneo hayo??
 
Habari za saa hizi wanajamii forum,
Mwenzenu natafuta eneo la kujenga kibanda changu cha kuishi na familia yangu,naombeni ushauri wapi naweza kupata kiwanja kwa bei nafuu.Pls pia ningependa kujua gharama za kiwanja kwa eneo husika.
Mkuu eneo linalofaa kwa hapa DSM sasa hivi ni pembezoni kidogo ya mji. Huku kwengine ni majanga labda umvue mtu kwa kuwa na kisu kikali na kama haitoshi kabla ya kununua eneo hilo au nyumba ni vizuri ukaenda ardhi upate mchoro kamili wa jiji ili usije kuingia kwenye mgogoro kama ule wa wakazi wa Boko waliotaka fidia juzi ili wapishe utandazwaji wa bomba kubwa la maji.

Wakati alama za njia ya bomba hilo ziliwekwa mwaka 1976 na baadhi walipoziona kwenye ardhi wakabomoa wenyewe bila kusubiri hukumu ya kesi.

Binafsi sitakuwa mbali na ushauri wa believer.
 
Kuna jamaa wananiambia Kigamboni mbele ya geza ulole kuna maeneo, na pia mbezi juu goba.
Vp maeneo hayo??
Na hata huko Goba kuna watu wanaviwanja ambavyo walishalipwa fidia zao kuna barabara ya lami inataka kujengwa kutokea Mbezi beach Samaki mpaka Kimara. Usije ukauziwa hivyo mkuu, uliza vizuri kwanza kabla ya kuwekeza pesa yako.
 
Njoo ununio nikuuzie kiwanja changu mil 50 no negotiation.
 
ukikosa huko mbele ya geza ulole jaribu kule kimbiji, naskia kuna viwanja ila mkwanja uongeze.
 
KIjichi....kigamboni...toangoma...mbagala....hela yako tu
 
Nenda pale mbelew ya lango la Ikulu alilotumia OBAMA kuna kiwanja kipo wazi na kinauzwa kwa bei poa kabisa. Kaulizie jamaa anayeitwa Salva kama unataka namba yake niPM.
 
Habari za saa hizi wanajamii forum,
Mwenzenu natafuta eneo la kujenga kibanda changu cha kuishi na familia yangu,naombeni ushauri wapi naweza kupata kiwanja kwa bei nafuu.Pls pia ningependa kujua gharama za kiwanja kwa eneo husika.
Kama unataka kigamboni, vile viwanja vya ule mji wa kigamboni, niPM
 
Habari za saa hizi wanajamii forum,
Mwenzenu natafuta eneo la kujenga kibanda changu cha kuishi na familia yangu,naombeni ushauri wapi naweza kupata kiwanja kwa bei nafuu.Pls pia ningependa kujua gharama za kiwanja kwa eneo husika.

Mabwepande. bei inaanzia 8,000,000.

Habari za saa hizi wanajamii forum,
Mwenzenu natafuta eneo la kujenga kibanda changu cha kuishi na familia yangu,naombeni ushauri wapi naweza kupata kiwanja kwa bei nafuu.Pls pia ningependa kujua gharama za kiwanja kwa eneo husika.

Kama ulivyoshauriwa na wengine, pembezoni ndio mpango mzima. Utaepukana na kero za kubanana, unajenga kwa nafasi.

Kuna viwanja vilipimwa na serikali miaka ya 2000 maeneo ya Buyuni, njia ya Chanika ulikuwa ni maradi wa viwanaj 20,000 watu wakakimbilia kununua wengine viwanja sita mpaka nane ila kujenga ikawa ngoma. Watu wengine, nikiwamo mimi tumejikongoja na kujenga nyumba na kuhamia kabisa. Sasa kuna watu walionunua viwanja vingi wanauza, unaweza kwenda kwa mtendaji akakupa namba za wauzaji.

Advantage nyingine ya viwanja vya Buyuni ni maji ambayo hayana Chunvi ambayo yanapatikana kwa kuchimba kisima chako maana hakuna Dawasco kule. Kuna watu wameanza kujenga super markets za nguvu na tayari PPF wamekamilisha ujenzi wa nyumba za bei nafuu 641 ambazo ziko sokoni tayari. Barabara ni lami toka mjini na inaendelea kupanuliwa, umeme upo.
 
Habari za saa hizi wanajamii forum,
Mwenzenu natafuta eneo la kujenga kibanda changu cha kuishi na familia yangu,naombeni ushauri wapi naweza kupata kiwanja kwa bei nafuu.Pls pia ningependa kujua gharama za kiwanja kwa eneo husika.
Nenda manispaa ya kibaha. wana viwanja wanauza vya kupima. Iko Maili moja.
 
Habari za saa hizi wanajamii forum,
Mwenzenu natafuta eneo la kujenga kibanda changu cha kuishi na familia yangu,naombeni ushauri wapi naweza kupata kiwanja kwa bei nafuu.Pls pia ningependa kujua gharama za kiwanja kwa eneo husika.
Kivule kuna eneo Kama uko tayari ni pm
 
Back
Top Bottom