Hili jua sjawahi shuhudia.Arusha hadi usiku kuna kiangazi
Hapa nyumbani kwangu Kimara bado inaendelea kunyesha, ila ni mvua ya maneno kutoka kwa mke wangu eti mbona kutwa nzima nilikua sipatikani
Sent from my iPhone using JamiiForums
Akili zako hazina akili😂😂😂Hapa nyumbani kwangu Kimara bado inaendelea kunyesha, ila ni mvua ya maneno kutoka kwa mke wangu eti mbona kutwa nzima nilikua sipatikani
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wewe!! Hilo wingu limesababishwa na mlipuko wa guruneti tulilolirusha ili kumuua panya mmoja mkorofi anayetafuna baraghashia zetu!! Hata hivyo panya mwenyewe alisepa bila mkwaruzo wowote! Kesho pia tutapambana naye,hii ni operesheni ya kudumu!!
Ayaaaah!!! Mimi Nilijua chato ipo ukanda wa Turkana! Nilishaandaa mchango wa kuwasaidia kibaba cha unga ili mama yetu aliyeko kule asije kufa njaa tukalazimika kuacha kazi nchi nzima kumuomboleza kwa lazima!! Si mnajua mwanae alivyo mtata?Chato imeanza muda huu
Mkuu. Badilisha jina. Hili la papu.....litanifanya niwahi nyumbani maana siku hizi gesti hakuna soksi kama kipindi cha awamu ya 4Hapa nyumbani kwangu Kimara bado inaendelea kunyesha, ila ni mvua ya maneno kutoka kwa mke wangu eti mbona kutwa nzima nilikua sipatikani
Sent from my iPhone using JamiiForums
hata huku Qatar mvua inanyesha
Mkuu uko mitaa ipi? Al-Mukarama Road? Au KM4?
Yaani unapanda kitandani shuka za moto kama zimetoka kupigwa pasi.Arusha hadi usiku kuna kiangazi
Huko Somalia wahuni wamemuuwa waziri wa kazi...Mkuu uko mitaa ipi? Al-Mukarama Road? Au KM4?