private agent
Member
- Apr 6, 2016
- 83
- 103
Habari za majukumu wakuu wa JF.
kama mnavyofahamu binaadamu yake ni mikikimikiki chini ya jua ili kuhakikisha anakidhi haja zake za kimaisha kufikia maisha bora. Hakuna anayeweza kulala kwa amani kama hana chochote cha kumletea faraja.
Ila pamoja na hayo kuna wakati anahitaji kupumzisha mwili na kuustarehesha ubongo ili kujipanga upya kila anapohisi amezidiwa na majukumu au jambo lolote linalomletea msongo katika maisha yake.
Sasa basi kukidhi mahitaji hayo anahitaji maeneo mbalimbali kwa ajili ya kujistarehesha, yaliyotulia au ya fujo kutegemea na mahitaji ya mwili wake. Baadhi ya maeneo machache ni:
Fukwe mbalimbali
Clubs
Migahawa etc.
Naomba kwa wajuzi zaidi waorodhesha maeneo mbali mbali ya kupumzuka kwa ajili ya kuufurahisha mwili. Nawasilisha.
Mkuu JB Bellmonte posta hotel imefungwa ile haipo nenda Star light napo pametulia kabisa.Fukwe ni Coco beach, Mikadi, dege beach, kurasini beach, kunduchi beach, mbezi beach, kawe beach, n.k
Clubs ni Maisha basement millenium tower, Club Bills zamani club billicanas posta, escape one mikocheni, JB bellmont posta, samaki samaki ipo masaki, isumba lounge zamani jory pub kijitonyama, sleep way club, holiday in club n.k
Restaurant ni samaki samaki mlimani city, best bite namanga, holiday in, steers zipo posta na upanga, ubungo plaza restaurant n.k
Watakuja wengine kuendeleza
Aisee mbona unamtajia beach na restaurant outdated hivo....atakuta mabuibui wallahi...hakuna wajanja wanaoenda huko...Fukwe ni Coco beach, Mikadi, dege beach, kurasini beach, kunduchi beach, mbezi beach, kawe beach, n.k
Clubs ni Maisha basement millenium tower, Club Bills zamani club billicanas posta, escape one mikocheni, JB bellmont posta, samaki samaki ipo masaki, isumba lounge zamani jory pub kijitonyama, sleep way club, holiday in club n.k
Restaurant ni samaki samaki mlimani city, best bite namanga, holiday in, steers zipo posta na upanga, ubungo plaza restaurant n.k
Watakuja wengine kuendeleza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yani mtoa mada/request na majibu anayopewa anaongezewa stress tuKumbe hata club panafaa kumpunzika,
Nitajaribu.
Fukwe ni Coco beach, Mikadi, dege beach, kurasini beach, kunduchi beach, mbezi beach, kawe beach, n.k
Clubs ni Maisha basement millenium tower, Club Bills zamani club billicanas posta, escape one mikocheni, JB bellmont posta, samaki samaki ipo masaki, isumba lounge zamani jory pub kijitonyama, sleep way club, holiday in club n.k
Restaurant ni samaki samaki mlimani city, best bite namanga, holiday in, steers zipo posta na upanga, ubungo plaza restaurant n.k
Watakuja wengine kuendeleza
Steers ya posta ipo kariibu na IT plaza ukiwa unaelekea IFM upande wa kushoto na BOT upande wa kuliaNaitafuta steers ya posta darubini yangu haiioni
Kama sikosei siku hizi kuna uzio pale kuashiria kuwepo kwa ujenzi mkubwa eneo hilo.Naitafuta steers ya posta darubini yangu haiioni
Insumba Lounge (zamani Jolly's Club na siyo Jory Pub) haiko Kijitonyama mkuu. Hii iko Ali Hassan Mwinyi Rd, Upanga (jirani na traffic lights zilizo kwenye makutano ya barabara ya kwenda Aga Khan Hospital).Fukwe ni Coco beach, Mikadi, dege beach, kurasini beach, kunduchi beach, mbezi beach, kawe beach, n.k