Habari zenu ndugu zangu,
Naomba kujuzwa sehemu wanayopatikana sana wazungu kwa Arusha maana nimeanza biashara yangu ya vitu vya asili ambavyo nataka niwe naviuzia Arusha sasa nataka nipate maeneo ya wageni kutoka nje ili niweze kuviuza kwa wingi maana naona ajira hakuna.
Msaada plz.