cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,309
- 74,854
Nawasalimu,
Kwa wanaojua wenye njaa au kushuhudia njaa, itakuwa vizuri kutaja maeneo wananchi wana njaa humu jukwaani.
Lazima kutaja eneo, kama ni Kata au Kijiji au sehemu yoyote itajwe bila kusahau kutaja Mkoa. Majina yao OK wakitaka.
Ukiwa na audio au video clips warekodi wakitaja hayo, usidanganye tu.
Inasomwa kuna njaa, ila wengi hawasikii maeneo yakitajwa. Hivyo tuyataje.
Tusaidie wenye njaa wajulikane na kusaidiwa na wenye kutaka kutoa misaada.
Please taja maeneo sio mengine, blah blah hatutaki kusikia. Labda serikali itasikia pia na kuamini ni ukweli.
Wengi humu mnalalamika juu ya njaa, sasa taja hizo sehemu.
Umoja ni nguvu, JF ipo juu.