Eneo zuri lenye mvuto lenye ukubwa wa nusu heka karibu na barabara kuu ya chanika linauzwa shilingi 50,000,000, hapohapo kuna eneo lingine zuri linapakana nalo lenye urefu wa mita 40 na upana wa mita 30 linauzwa shilingi 40,000,000 na eneo lingine dogo karibu yake nalo lipo barabarani lina urefu wa mita 25 na upana wa mita 10 bei yake ni shilingi 8,000,000. Kwa mawasiliano piga 0788883962.