Maeneo marufuku kupiga picha

Maeneo marufuku kupiga picha

SAPA

Member
Joined
Mar 17, 2012
Posts
23
Reaction score
2
Hi wana jukwaa, hivi maeneo kama Kivukoni, Bungeni n.k ambapo wamepiga marufuku kupiga picha ni kwa sababu gani? Na sometimes akipiga mzungu wanamuacha hawamsumbui kama mtz. Natanguliza shukrani kwa majibu mazuri
 
walinzi wanaolinda hayo maeneo wengi hawajui kiingereza ndo maana akipigia picha mzungu haulizwi
 
walinzi wanaolinda hayo maeneo wengi hawajui kiingereza ndo maana akipigia picha mzungu haulizwi



Nenda kapige,ukikamatwa anza kuongea kifaransa au kichina kabisa,kitakachokupata ulete feedback.sawa mkuu?
 
Back
Top Bottom