Wakuu pole na majukumu,,
Nimebahatika kutembelea na kuishi mikoa nane ya Tanzania bara adi Sasa.
Nimefanya utafiti mdogo sana na kugundua maeneo "KOROFI"
Maeneo hayo yamekuwa yakitumika sehem tofauti kulingana na mahali
1:relini
2:shuleni
Maeneo haya vijana wengi uyatumia kama guest nyakati za usiku kufanya mapenzi na wapenzi wao au kubadilishana mawazo na wapenzi wao,,
**Maeneo yanayoongoza kwa vijana (ke) wengi kupata mimba zisizo tarajiwa
KARIBU UTAJE MAENEO MENGINE KOROFI UNAYOFAHAMU [emoji1376][emoji1376][emoji1376]