ora
JF-Expert Member
- May 21, 2016
- 1,198
- 1,128
pale c kama bonde la mkwajuniKati Kati Ya Mtongani Na Mishen,,,yaan Wanakufuata Wanakuzingua Halaf Wanaondoka Mdogo Mdogo Na Raia Wanaona
pale c kama bonde la mkwajuniKati Kati Ya Mtongani Na Mishen,,,yaan Wanakufuata Wanakuzingua Halaf Wanaondoka Mdogo Mdogo Na Raia Wanaona
Darajani pale kuelekea Mwenge ukitokea Ubungo walinipora simu.
Mwigulu kaanzie pale wanirudishie simu yangu. Ilikuwa aina ya Nokia X2 na ilikuwa na vocha ya voda shilingi 1300.
Hatarii nako pale..magogoni getini
Kila sehemu dar ni hatari Kama haina ulinzi sasa usitake kumpangia kazi waziri suala ni ulinzi shirikishi na kuwataja weziKuna watu wanaleta utani lakini mleta.mada alilenga hoja ya.msingi sana. Tujaribu kuwa seriuz kidogo sio leo unaleta utani.halafu kesho unaporwa saa 7 mchana then unaanza kulalamika.
Karibu sana mkuu. JF is never boringjamani humu mna vituko
![]()
Kivipi? Funguka usiogopeChato na Msoga.
Kuogopa nini?Kivipi? Funguka usiogope
asanteKaribu sana mkuu. JF is never boring

Ha ha ha ha kazi anayoDarajani pale kuelekea Mwenge ukitokea Ubungo walinipora simu.
Mwigulu kaanzie pale wanirudishie simu yangu. Ilikuwa aina ya Nokia X2 na ilikuwa na vocha ya voda shilingi 1300.
KariakooKigogo mbuyuni wakati wa traffic jam, kidongo chekundu,