Bodabodafasta
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 372
- 372
Muhimu kujua usijefika mbinguni kuambiwa starehe zote umeziacha duniani huku ni kuimba tuNgoja tusubiri wenye dsm yao watiririke hapa!.. Nami nataka kuvifahamu viwanja hivyo vya kusuuza/kukonga roho
Sent using Jamii Forums mobile app
Sinza sehemu zote za kawaida mkuu; labda kwa wazee wa totozi huwezi juta maana unajiokotea tu;
Haaahaaa[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]Muhimu kujua usijefika mbinguni kuambiwa starehe zote umeziacha duniani huku ni kuimba tu
Unaonekana mtu wa bata halfu mchoyo
Asante kwa ku highlights vitu vya msingi hapoDar, DSM sema Dar es Salaam jiji linahitaji huwe na bajeti yakutosheleza!! Kwanza inategemeana na unahitaji starehe hipi, wapo ambao starehe yao ni kunywa wine huku unafanyiwa massage baadae unamaliza mchezo.
Kama unakunywa zipo sehemu ambazo local beer haipungui 5,000 kwa chupa pia kama unataka kipozeo basi at least ujiandae kumlipa danga 100k kwa usiku mmoja!! Najua ndio gharama ya kupalilia shamba kwa kule mkoani.
Kama ni mtu wa soka basi usikose kufika pale Boko veteran uone pasi nyingi
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji16][emoji16][emoji16] Usinambie [emoji848]Unaonekana mtu wa bata halfu mchoyo
Ndo ukweli lakini[emoji849][emoji849][emoji849][emoji16][emoji16][emoji16] Usinambie [emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Rambo star manzese kila kitu utapata hapoKatika mazingira ya kitanzania ni ngumu sana kukua kwa kufurahia maisha kwa kula unachokipenda kukaa sehemu nzuri; kuvaa vizuri; kukutana na watu smart yaani mtu mpaka anakuwa mtu mzima anakuwa na inferiority complex nyingi hadi inaonekana suala la kula bata ni baya; yaani mtu unaweza ukaanza kupenda vitu vizuri; kwenda sehemu nzuri na kuwa na connection nyingi za watu wanakwenda na wakati ukapata upinzani mkubwa sana maana watu hawategemei kama nawe unapenda bata; wanashindwa kujua ukweli mchungu hukua na hela na wazazi wako hawakuwa na hela ndo maana tuliamua kuishi sawa sawa na uwezo wetu;
Sasa kutokana na kutokujua maeneo mazuri ya kutembea na kuona mazingira bora; kula kilicho bora; kucheza mziki; kuogelea; kupumzika hata siku mbili tatu; hata kushangashangaa dunia inavyokwenda sio kila kitu hujui; kwa ujumla sehemu zinazovutia kwa kupumzika weekend ambapo ukipeleka hela yako huwezi juta kulinganisha na ulichopata/ona.
Kwa wazoefu tuambiane wapi naweza kwenda nikaipe roho kitu inapenda; karibuni wadau
Karibu samaki samaki mlimani city mda huu utanikuta na baby wangu nimevaa tshirt black na miwani(tinted)
Katika mazingira ya kitanzania ni ngumu sana kukua kwa kufurahia maisha kwa kula unachokipenda kukaa sehemu nzuri; kuvaa vizuri; kukutana na watu smart yaani mtu mpaka anakuwa mtu mzima anakuwa na inferiority complex nyingi hadi inaonekana suala la kula bata ni baya; yaani mtu unaweza ukaanza kupenda vitu vizuri; kwenda sehemu nzuri na kuwa na connection nyingi za watu wanakwenda na wakati ukapata upinzani mkubwa sana maana watu hawategemei kama nawe unapenda bata; wanashindwa kujua ukweli mchungu hukua na hela na wazazi wako hawakuwa na hela ndo maana tuliamua kuishi sawa sawa na uwezo wetu;
Sasa kutokana na kutokujua maeneo mazuri ya kutembea na kuona mazingira bora; kula kilicho bora; kucheza mziki; kuogelea; kupumzika hata siku mbili tatu; hata kushangashangaa dunia inavyokwenda sio kila kitu hujui; kwa ujumla sehemu zinazovutia kwa kupumzika weekend ambapo ukipeleka hela yako huwezi juta kulinganisha na ulichopata/ona.
Kwa wazoefu tuambiane wapi naweza kwenda nikaipe roho kitu inapenda; karibuni wadau