1995_No_Ku_Fake
JF-Expert Member
- Aug 24, 2026
- 1,454
- 3,156
- Thread starter
- #21
🤣🤣 Hii ni ligi nyingine kabisa mkuu, mashindano ya nani awahi kufungua uzi saa 00:01! Wengine saa 00:02 tayari wameshacheza dakika mbili.Dah! wakafungua na uzi kabisa jamii forum usiku wa manane, unaanza kuona 00:02, sijui hua ni mashindano!