Maendeleo ya nchi ni "Collective", awamu ya tano imekosea sana approach na lazima Rais achoke

Chadema imeoza kila mahali alafu vikaragosi bavicha vinahangaika na rais badala ya kuhangaika na Mbowe aitishe uchaguzi
Mwandishi wa hii mada yeye ni Chama tofauti na hiyo Bavicha yako. Chonde si kila mtoa mada mubadala ni sijui bavicha ambacho ni chama sikifahamu au chadema. Kutaja Chadema kila mkisoma nyuzi mnawapaisha. Subiri walio benchi waamue.
 
..mbona mambo ya KIKATILI bado yanaendelea? Hilo halijamchosha?
Mkuu nimekuelewa. Tofauti ni kwamba hajutii tu kwa sababu anaamini ndio njia halisi. Alitamani watu wawe kimya na maendeleo kedekede. Inekuwa sivyo nchi inalalamikiwa na ndoto hazijatimia. Happy hujikuta amechoka tu.
 
Kwa siku za hivi karibuni hapa JF na mitandao mengine kuna mada zinaendelea kuuliza. Kwa nini siku hizi Mzee anajaribvu kuwa Mpole Kunani? Majibu ni mengi. Nami naweza kusema awamu ya tano imekosea mengi lakini makosa yote hayo yanakusanywa na neno " Approach".
DHANA YA KUCHOKA
Kukosea kwenye Approach ndiko kunakomfanya mzee mpole leo na huu naweza kusema ni upole wa kuchoka na wala sio wa maumbile. Kwa maumbile Mzee si mpole. Huyu Mzee amechoka. Hebu angalia nguvu zote alizotumia kujinasibu na kupiga kazi lakini ripoti zikitoka uchumi unashuka.
Amejinasibu na kutumia Approach ya Jeshi la Mtu mmoja ( One man Show)kwa kutumbua kuagiza na kubadilisha taratibu na wakati mwengine kuvunja sheria akiamini hio ndio njia sahihi lakini mwisho wa siku tija yake ni kulalamikiwa kila kukicha. Hapa lazima awe mpole na Achoke.
Hata wasaidizi wake. Kila kukicha anapanga safu za uteuzi, Yaani mpaka leo hajapata watu wanaomridhisha ni kuteua , kutumbuwa na kutenguwa. Wakati alijinasibu kutenda haki mizani inamuelemea kila kukicha na inabidi afanye upendeleo wa kuwalinda wale watiifu kwake hata kama wanaharibu. Kubeba zigo hili la lawama za kujitakia lazima uchoke. Amechoka by Principle na sio tabia. Kajitwisha zigo la kujitakia na linamchosha.
Kachoshwa na maamuzi yasiyo na tija likiwemo kuzuiya vyama kufanya siasa, korosho, Acasia na mengineyo. Kuanguka kwa utawala wa sheria, matamko ya kila kukicha ndani na nje ya nchi yanampa simanzi la fikra. Haya ni matokeo ya kukosa Approach nzuri na sasa result yake ni hayo machofu na akifikiria hatma na matumaini ya waliomuamini yanazidi kumchosha.
Rais kachoshwa na malalamiko ya wadau wa maendeleo wa nje, taasisi za kiraia, vyama vya siasa na Raia kuhusu haki na kupotea matumaini na taswira ya nchi kimataifa. Kuna bundi la wasiojulikana na mateso ya watu kutekwa, kuumizwa na kutoonekana au kujulikana walipo. Hii imejenga Taswira mbaya kwenye Utawala wa wamu ya Tano na Matokeo yake ukilinganisha na muda uliobaki ndio humchosha Rais.
Rais alitarajia iwe anafurahikiwa na kupongezwa na kila Mtanzania au watu wengi, Lakini Tazama hata kwenye chama chake, Makatibu wakuu Wastaafu wanalazimika kuja hadharani kulalamika. Juwa mambo ni magumu mno na lazima Rais awe mpole. Si upole wa maumbile ni upole wa kuchoka na tatizo ni Approach.
DHANA YA MAENDELEO.
Maendeleo ni Collective, Naam. Yote hapo juu yamechangia mtengano. Approach imemlazimisha kumuona kila mkosoaji kuwa ni mkorofi na badala ya kutumia Approach sahihi zimetumika Approach irrelevant na sasa kila kitu kiko worse. Matajiri walivurugika, mazingira ya uekezaji yaliharibiwa na Approach ya vitisho na kutotabirika kwa maamuzi. Nani awekeze kwenye Risk zone za kisiasa.
Wangapi wamebambikiziwa kesi tofauti. Hakukuwa na vipaumbele na leo awamu ya Tano haizungumzii tena Hapa Kazi tu. Ajira zimeadimika kwa vijana. Wafanyakazi hoi.
Maendeleo yanakuja kwa mshikamano, sera safi, siasa safi, utawala wa sheria, udhibiti wa wastaani wa maamuzi n.k. Ukikosea Approach tu unayumbisha uwekezaji, uchumi na ustawi wa Jamii. Leo hii wadau muhimu wa mambo haya wanalalamika na kulazimika kutoa matamko kwa nini? Kumekosekana Approach.
NINI KIFANYIKE.
Kwa maslahi ya Taifa , Kunahitajika maridhiano ya kitaifa ya haraka. Choreni mstari mwekundu waiteni wadau wote mezani kwa nia njema tukwamuke.
Pili Katiba Mpya Baba, Katiba Mpya , Katiba Mpya.
Kishada
At last,
Some breath of fresh air.
At least somebody is discussing ideas.
Sadly some will never feel your soul.

Huwezi kusema Tanzania ni tajiri kwa kuangalia tu Rasilimali Vitu na kusahau kwamba Rasilimali Vitu bila Rasilimali Watu ni kupaka rangi upepo.

Sayansi ya maendeleo inalazimisha watawala wote kufuata hii kanuni, lakini nadhani Mzee wetu atakuja kuelewa wakati kumekucha na mambo yameshakuwa mabaya.
 
Kwa siku za hivi karibuni hapa JF na mitandao mengine kuna mada zinaendelea kuuliza. Kwa nini siku hizi Mzee anajaribvu kuwa Mpole Kunani? Majibu ni mengi. Nami naweza kusema awamu ya tano imekosea mengi lakini makosa yote hayo yanakusanywa na neno " Approach".
DHANA YA KUCHOKA
Kukosea kwenye Approach ndiko kunakomfanya mzee mpole leo na huu naweza kusema ni upole wa kuchoka na wala sio wa maumbile. Kwa maumbile Mzee si mpole. Huyu Mzee amechoka. Hebu angalia nguvu zote alizotumia kujinasibu na kupiga kazi lakini ripoti zikitoka uchumi unashuka.
Amejinasibu na kutumia Approach ya Jeshi la Mtu mmoja ( One man Show)kwa kutumbua kuagiza na kubadilisha taratibu na wakati mwengine kuvunja sheria akiamini hio ndio njia sahihi lakini mwisho wa siku tija yake ni kulalamikiwa kila kukicha. Hapa lazima awe mpole na Achoke.
Hata wasaidizi wake. Kila kukicha anapanga safu za uteuzi, Yaani mpaka leo hajapata watu wanaomridhisha ni kuteua , kutumbuwa na kutenguwa. Wakati alijinasibu kutenda haki mizani inamuelemea kila kukicha na inabidi afanye upendeleo wa kuwalinda wale watiifu kwake hata kama wanaharibu. Kubeba zigo hili la lawama za kujitakia lazima uchoke. Amechoka by Principle na sio tabia. Kajitwisha zigo la kujitakia na linamchosha.
Kachoshwa na maamuzi yasiyo na tija likiwemo kuzuiya vyama kufanya siasa, korosho, Acasia na mengineyo. Kuanguka kwa utawala wa sheria, matamko ya kila kukicha ndani na nje ya nchi yanampa simanzi la fikra. Haya ni matokeo ya kukosa Approach nzuri na sasa result yake ni hayo machofu na akifikiria hatma na matumaini ya waliomuamini yanazidi kumchosha.
Rais kachoshwa na malalamiko ya wadau wa maendeleo wa nje, taasisi za kiraia, vyama vya siasa na Raia kuhusu haki na kupotea matumaini na taswira ya nchi kimataifa. Kuna bundi la wasiojulikana na mateso ya watu kutekwa, kuumizwa na kutoonekana au kujulikana walipo. Hii imejenga Taswira mbaya kwenye Utawala wa wamu ya Tano na Matokeo yake ukilinganisha na muda uliobaki ndio humchosha Rais.
Rais alitarajia iwe anafurahikiwa na kupongezwa na kila Mtanzania au watu wengi, Lakini Tazama hata kwenye chama chake, Makatibu wakuu Wastaafu wanalazimika kuja hadharani kulalamika. Juwa mambo ni magumu mno na lazima Rais awe mpole. Si upole wa maumbile ni upole wa kuchoka na tatizo ni Approach.
DHANA YA MAENDELEO.
Maendeleo ni Collective, Naam. Yote hapo juu yamechangia mtengano. Approach imemlazimisha kumuona kila mkosoaji kuwa ni mkorofi na badala ya kutumia Approach sahihi zimetumika Approach irrelevant na sasa kila kitu kiko worse. Matajiri walivurugika, mazingira ya uekezaji yaliharibiwa na Approach ya vitisho na kutotabirika kwa maamuzi. Nani awekeze kwenye Risk zone za kisiasa.
Wangapi wamebambikiziwa kesi tofauti. Hakukuwa na vipaumbele na leo awamu ya Tano haizungumzii tena Hapa Kazi tu. Ajira zimeadimika kwa vijana. Wafanyakazi hoi.
Maendeleo yanakuja kwa mshikamano, sera safi, siasa safi, utawala wa sheria, udhibiti wa wastaani wa maamuzi n.k. Ukikosea Approach tu unayumbisha uwekezaji, uchumi na ustawi wa Jamii. Leo hii wadau muhimu wa mambo haya wanalalamika na kulazimika kutoa matamko kwa nini? Kumekosekana Approach.
NINI KIFANYIKE.
Kwa maslahi ya Taifa , Kunahitajika maridhiano ya kitaifa ya haraka. Choreni mstari mwekundu waiteni wadau wote mezani kwa nia njema tukwamuke.
Pili Katiba Mpya Baba, Katiba Mpya , Katiba Mpya.
Kishada
Tanzania itajengwa na wanaccm tu, tumeweza kukijenga chama hatutashindwa kukajenga kanchi Tanzania.
 
Jiwe alijachoka bali watu tumeanza kujipanga kwenye mstari. Ushasikia UKUTA? Ushasikia mpaka kieleweke? Ushamsikia Mange Kimambi? Wote mguu sawa! Kama unabisha, jaribu!
 
Mkuu unatania au inakuwaje. CCM imeshindwa kufuata hata ilani yake. Sikwambii katiba ya nchi. Tutachukuwa miaka mingi.
 
Jiwe alijachoka bali watu tumeanza kujipanga kwenye mstari. Ushasikia UKUTA? Ushasikia mpaka kieleweke? Ushamsikia Mange Kimambi? Wote mguu sawa! Kama unabisha, jaribu!
Hayo mambo ndio yanamchosha akili. Tija ni ndogo kuliko efforts zisizo maono. Kazidisha maadui hadi kwenye chama chake. Mzee kachoka anajikaza tu.
 
Back
Top Bottom