Maendeleo pasipo maadili ni kujenge jamii ya wahuni.!

Dogo Lao

Member
Nov 2, 2011
94
38
Maana yangu ni kwamba, kuyafumbia macho mambo ambayo ni kinyume na maadil ni kulijenga taifa la mateja, machangudoa, vibaka na wanaofanana na hao. Leo tukiwapa uhuru mashoga, kesho mateja nao watadai haki zao. Keshokutwa tusishangae kuona mafisadi wakiandamana kudai haki zao. Ushoga si kilema, ni suala linaloweza kutibika kipsychology na hata kwa kutumia mbinu nyingine iwapo juhudi za dhati zikichukuliwa kama zinavyochukuliwa ktk kupambana na malaria au ukimwi..!!
 
Back
Top Bottom