VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,481
- 1,450
Kati ya vitu ambavyo huwa sivielewi ni tabia zetu sisi Waafrika na watu wote wenye asili ya Afrika linapokuja suala la maendeleo, huwa tupo tofauti na watu wa mabara mengine kama Asia na Ulaya.
Ni rahisi sana watu weusi kuungana kuandaa tukio la Nyama Choma kwa gharama yoyote ile lakini ni ngumu kuunganisha nguvu kuanzisha biashara ama kampuni ambayo itakuwa kubwa na yenye nguvu na ushindani. Kwanini?