Inatia uchungu kuona watu wakishabikia kukanyagwa kwa katiba ambayo watu wameapa kuilinda.
Wanasiasa wanawekwa rumande miezi mingi wakinyimwa dhamana kwa mashinikizo ya watawala kinyume na katiba. Wengine wanafungwa kwa kesi zenye kulipiwa faini kwa mashinikizo hayo hayo ya kisiasa, Mikutano ya siasa inazuiliwa kwa nguvu kinyume na katiba walioapa kuilinda.
Je, anayefanya mkutano wa siasa ulioruhusiwa na katiba ya nchi na yule anayekataza ni yupi anayetakiwa kukamatwa na Polisi?
Visingizio vya kuzuia mikutano kwa ajili ya maendeleo ya nchi ni maneno ya kusadikika maana hakuna uhusiano wowote
Maendeleo hayaji kwa kukanyaga katiba