miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
haliruhusu watoto na mpaka baba yako utafiti aruhusu maana utachanganyikiwa
hata huna siri ona sasa baba atachukia
Mwanangu haya umesema wewe?
hata huna siri ona sasa baba atachukia
Acha hizo!!!!! Unataka wife apelekewe habari za uongo?
Mimi nasema lugha nyepesi kabisa na laini! utafiti Km anabisha nimwage Ushahidi hapa na nizilite kauli Zake mwenyewe na ni Waite kwa majina waje hapa!
Baba yako utafiti ni kaka yangu na rafiki yangu sana ila ni mjanja sana
Hee Ntuzu umetokea wapi?
ila baba kiukweli ukweli nataka nikaone huko
Nimekuja kuweka sawa! Maana Wewe Huwezi chelewa kuanza kutaka kula mayai yako! miss chagga Kua makini!
miss chagga unaona sasa baba yako anavyotutoa kwenye mada?
miss chagga unaona sasa baba yako anavyotutoa kwenye mada?
Mkuu utafiti unataka utupe offer nini aise nina njaa hapa ya kufa mtu
Sasa nitakua nakufungia ndani mwanangu, utatoka Jumamosi na Jumapili tu tena ukiwa na mimi
Sasa nitakua nakufungia ndani mwanangu, utatoka Jumamosi na Jumapili tu tena ukiwa na mimi