I hope kesho nitapata jibu zuri na tamu kama asali ya nyuki wadogo
Umeyaona maembe bolibo????
Nimeyaona bana sijui akina Vin Diesel na Nicas Mtei wako wapi waje wayaone hapa
Chezea [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=teambazazi]#teambazazi [/URL] , wameshawasiliana na Zinduna long time hivi saivi wako kwenye Kilimanjaro III wanakatiza Nungwi. Wakirudi keshokutwa watakwambia walienda kushuhudia milipuko ya mabomu.
Kila weekend natoka na familia yangu...ntapata wapi mda wakutoka na mwengine???
yani kumbe my dear utafiti wewe ni bazazi!mi nkajua nimepata mume mwema maishani kumbe kuna kina@mwallu tena jaman! Mi sikutaki tena utafiti endelea tu na mama ake miss chagga ndo amezoea ugumegume wako mi akuuuu
yani utafiti ungejua nilivoumia roho nilikuwa nimejificha somewhere nawachora tu na mwanao miss chagga anavojua kukutetea kumbe mnafichiana siri eeeh,nambie mlienda wapi na Mwalu wikend?Jamani kukucd nini hiki?
yani utafiti ungejua nilivoumia roho nilikuwa nimejificha somewhere nawachora tu na mwanao miss chagga anavojua kukutetea kumbe mnafichiana siri eeeh,nambie mlienda wapi na Mwalu wikend?
yani utafiti ungejua nilivoumia roho nilikuwa nimejificha somewhere nawachora tu na mwanao miss chagga anavojua kukutetea kumbe mnafichiana siri eeeh,nambie mlienda wapi na Mwalu wikend?
Mpenzi wangu niende wapi mimi bila wewe?
miss chagga huyu ni mama yako naomba mpe "shikamoo" kwanzababa huyu ni mama?
mmmh kumbe baba ako ajakutambulisha lakini kuanzia leo simtaki tena, anachepuka sana.
miss chagga huyu ni mama yako naomba mpe "shikamoo" kwanza