Maembe BOLIBO..Page 2

Maembe BOLIBO..Page 2

Waleta picha naona tunategana sana sisi wengine maradhi yetu warembo, jamani mtuonee huruma
 
1579049_Toke__Eva_jpg6d3b7484df3a562ef94f540691ed6bb8


Warembo hawa wanapatikana maeneo ya Posta Mpya
Haya wale Wazee wa #TeamBazazi kazi kwenu

C.c Nicas Mtei , Mr Rocky, Vin Diesel , Kaizer Mtambuzi.
 
Last edited by a moderator:
Ndiyo mkuu pia nilitaka nirost na kitimoto halafu nimpelekee kahtaan maana besidei yake ni wiki ujayo ...lol!!!!!!!

Duh...!! una hamu ya kuyaoga wewe... kahtaanna kitimoto kweli...!!? nimepita sitaki ushahidi.
 
Last edited by a moderator:
Waleta picha naona tunategana sana sisi wengine maradhi yetu warembo, jamani mtuonee huruma
hahahahaaaaaaaa,umepatikana mkuu na triki aliyotumia huyu Zinduna majanga tupu lazima kunasa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom