miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
Uzidishe heshima makoyo mimi nikiongea na baba mkwe wangu ata kichwa sinyanyui... miss chagga anajua nikiongea na babu yake
baba nakuonaga mda mwingine nakucheka unavyokuwaga mdogo
Uzidishe heshima makoyo mimi nikiongea na baba mkwe wangu ata kichwa sinyanyui... miss chagga anajua nikiongea na babu yake
Tulia Wewe!
hayaaaa leo unadharau zawadi yangu kweli, moyo unaniuma, mbona mlimkula mpaka ngozi?
baada ya mie kutokubali mualiko
Uzidishe heshima makoyo mimi nikiongea na baba mkwe wangu ata kichwa sinyanyui... miss chagga anajua nikiongea na babu yake
we ndo unamuuza dada yakoBaba yako utafiti yuko tayari? Maana Mimi kila Siku aniambia nimfanyie mpango kwa dada yng!
Kha mbuzi wa kimasaai nyama yake lazima ibaki iliwe siku mbili mfululizo jamani babytulikula ngozi kwa sababu nyama haikutosha
ndo ujue hivyo sisi tupo wengi si kama kiukoo chakoKha mbuzi wa kimasaai nyama yake lazima ibaki iliwe siku mbili mfululizo jamani baby
haya baba mkwe utafiti nimekuelewa, nitatii maneno yako
nakupenda sana baba yangu mzuri
na uyashike na kuyafuata
ndo ujue hivyo sisi tupo wengi si kama kiukoo chako
baada ya mie kutokubali mualiko
ndo ujue hivyo sisi tupo wengi si kama kiukoo chako
kwa hiyo umenisamehe sio baby?
Sawa na Ukoo Wa Panya!
unahitaji kitubio