Nafikiri unaweza tzama twitter zake,pia yeye ndiye mfuasi wa kwanza wa Makamba katika twitter na makamba hivyo hivyo.
hata utafiti wa CCM walipewa wao wakauita utafiti wa ndani.
mimi si mpenzi wa vyama laniki nachukua kubaka taaluma ya utafiti
Kwa mf kama yuko fair hii post kwa nini ali retweet ,ina faida gani?
View attachment 289812View attachment 289816
Mungu mkubwa, Magufuli wewe ni chaguo la wengi.
Unalia kisa hujamshika mkono mgombea urais?jamani!!!!!!!!!!!!!!!!!

Ni chaguo la wanaosombwa na mafuso.Ni kweli Magufuli ni chaguo la Lumumba
Chaguo la wengi? wengi wakina nani?. rais tunaye na siyo huyo magufuli wanu.
Unalia kisa hujamshika mkono mgombea urais?jamani!!!!!!!!!!!!!!!!!
hahahahahahahaa