PreGE2025 Maelfu ya Wananchi waliohudhuria mkutano wa CHADEMA waridhia Uchaguzi usogezwe mbele ili Marekebisho muhimu yafanyike

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Bush Dokta

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
36,228
Reaction score
60,546
Katika Bandika bandua inayoendelea chini ya Kiongozi Mahiei Mh John Heche ambaye ni Makamu mwenyekiti wa Chadema Taifa huko Kahama.

Zaidi ya Wananchi 5000 ktk mkutano mmoja wamekubali kwa kauli moja na kuitaka serikali ijali maoni na matakwa yao.

Wamesema wanaiomba mamlaka kusikiliza wananchi ili uchaguzi wa Oktoba usogezwe na marekebisho ya sheria na katiba yafanyike.

Ikumbukwe Kitendawili kikubwa kwa serikali ilikuwa ni kupata muda wa kuweza kushughulikia malalamiko ya wadau wakiwemo wananchi ktk swala la demokrasia na uongozi.

Awali serikali na chama cha ccm kilikubali kuwa hoja za mageuzi ni muhimu na kwamba kwa upande wao wanaziunga mkono na hivyo wako tayari kutekeleza. Pamoja na utayari huo walitoa sababu kuwa kwa sasa haiwezekani kwa kuwa muda ni mchache tunapoelekea uchaguzi Mkuu wa oktoba 2025.

Hata hivyo baada ya kushiriki majadilianao mbali mbali kwa wadau wa Maswala ya Sheria, Katiba, Chaguzi za kidemokrasia wadau wa haki za binadamu na wa maendeleo wengi wamekuja na suluhu kuwa Kuna uwezekano wa kusogeza uchaguzi mbele.

Wakasema hili litampa Muda Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Samia Suluhu Hassan aliyeko madarakani pamoja na vyombo vingine kujipanga na kutuletea mifumo bora ya utawala.

Huko Kahama kwa Mkutano wa leo Wananchi wameonesha kuunga mkono hoja hiyo kwa 100%.
No reform no election

View: https://www.youtube.com/live/78R43Ag8GaA?si=fX6J3i3Tncf6VC_r
 
Ushahidi sio mkutano ni siku ya kupiga kura wataenda au hawaendi?

Sasa hivi msihangaike wananchi wanasikiliza pande zote mbili za wataka waende kupiga kura na wasiotaka ili siku ya uchaguzi wafanye maamuzi.Waende au wasiende.Usiwaamulie mleta mada

Stay tuned
 
Ushahidi sio mkutano ni siku ya kupiga kura wataenda au hawaendi?

Sasa hivi msihangaike wananchi wanasikiliza pande zote mbili za wataka waende kupiga kura na wasiotaka ili siku ya uchaguzi wafanye maamuzi

Stay tuned
Braza hatuongelei kupiga kura bali uhalali wa kura za wananchi
 
Ushahidi sio mkutano ni siku ya kupiga kura wataenda au hawaendi?

Sasa hivi msihangaike wananchi wanasikiliza pande zote mbili za wataka waende kupiga kura na wasiotaka ili siku ya uchaguzi wafanye maamuzi

Stay tuned
TZ KUNA UCHAGUZI BNANA?
 
Katika Bandika bandua inayoendelea chini ya Kiongozi Mahiei Mh John Heche ambaye ni Makamu mwenyekiti wa Chadema Taifa huko Kahama.

Zaidi ya Wananchi 5000 ktk mkutano mmoja wamekubali kwa kauli moja na kuitaka serikali ijali maoni na matakwa yao. Wamesema wanaiomba mamlaka kusikiliza wananchi ili uchaguzi wa Oktoba usogezwe na marekebisho ya sheria na katiba yafanyike.

Ikumbukwe Kitendawili kikubwa kwa serikali ilikuwa ni kupata muda wa kuweza kushughulikia malalamiko ya wadau wakiwemo wananchi ktk swala la demokrasia na uongozi.
Awali serikali na chama cha ccm kilikubali kuwa hoja za mageuzi ni muhimu na kwamba kwa upande wao wanaziunga mkono na hivyo wako tayari kutekeleza. Pamoja na utayari huo walitoa sababu kwa sasa haiwezekani kwa kuwa muda ni mchache tunapoelekea uchaguzi Mkuu wa october 2025.

Hata hivyo baada ya kushiriki majadilianao mbali mbali kwa wadau wa Maswala ya Sheria, Katiba, Chaguzi za kidemokrasi, wadau wa haki za binadamu na wa maendeleo wengi wamekuja na suluhu kuwa Kuna uwezekano wa kusogeza uchaguzi mbele.

Wakasema hili litampa Muda Rais Samia aliyeko madarakani pamoja na vyombo vingine kujipanga na kutuletea mifumo bora ya utawala.

Huko Kahama kwa Mkutano wa leo Wananchi wameonesha kuunga mkono hoja hiyo kwa 100%.
No reform no election

View: https://www.youtube.com/live/78R43Ag8GaA?si=fX6J3i3Tncf6VC_r

nikikaona hako kaaskofu na mropokaji mzee slaa nacheka sana aise :pedroP:
 
Very sensitive!
 
Tuna watawala wanaotaka Watanzania wawe wachuuzi wao wakiishi Masaki na route za Dubai nk
 
Siku ya kupiga kura nimepiga marufuku ndugu yangu yeyote anayepokea msaada kutoka kwangu kuanzia Bibi mpaka madogo kukaa ndani

Ukienda kupiga kura Mimi nazima data

Mwaka huu ni ubaya ubwera
Kwa sasa watu wengi wanaelewa. Na hata bile kauli mbiu ya no reform no election ni wananchi wengi sana wameshakata tamaa za chaguzi hizi.
 
TZ KUNA UCHAGUZI BNANA?
Kwa mawazo waweza ona haupo kwa mwingine akaona upo

wewe baki na yako na wengine wabaki na yao.Kukubaliana kutokubaliana.
Hakuna mtu akikuteua au kukukupa kura au kukipa kura Chama chochote kuwa kibachowaza lazima kiwe ndio mawazo kila Mtanzania

CHADEMA inajipa jukumu ambalo sio lao lao kabisa kidemokrasia
Wanatakiwa waongee hayo yao ba wataka uchaguzi waongee yao .Kisha wananchi siku ya uchaguzi waamue kwenda kupiga kura au la

Kila mmoja kwa uamuzi wake CHADEMA toka imeshikwa na dikteta uchwara Tundu Lisu na team Lisu madikteta uchwara wenzie wadhani waweza buruza watanzania au vyama vingine vya siasa

Kwanza kuwajibu vyama vyote vya upinzani kasoro CHADEMA wamesema watashiriki kuwapa meseji CHADEMA kuwa mpuuzi wewe ,wewe sio head prefect wa vyama vya upinzani vya siasa Tanzania kwenda huko Mshenzi wewe CHADEMA

Mind your own business hopeless
 
Siku ya kupiga kura nimepiga marufuku ndugu yangu yeyote anayepokea msaada kutoka kwangu kuanzia Bibi mpaka madogo kukaa ndani
Mjinga wewe mimi mtu mzima na ndugu yako nakula kwangu nalala kwangu hunilishi hunivishi mshenzi wewe unanizuiaje kwenda kupiga kura kwa mfano?
 
Katika Bandika bandua inayoendelea chini ya Kiongozi Mahiei Mh John Heche ambaye ni Makamu mwenyekiti wa Chadema Taifa huko Kahama.

Zaidi ya Wananchi 5000 ktk mkutano mmoja wamekubali kwa kauli moja na kuitaka serikali ijali maoni na matakwa yao.

Wamesema wanaiomba mamlaka kusikiliza wananchi ili uchaguzi wa Oktoba usogezwe na marekebisho ya sheria na katiba yafanyike.

Ikumbukwe Kitendawili kikubwa kwa serikali ilikuwa ni kupata muda wa kuweza kushughulikia malalamiko ya wadau wakiwemo wananchi ktk swala la demokrasia na uongozi.
Awali serikali na chama cha ccm kilikubali kuwa hoja za mageuzi ni muhimu na kwamba kwa upande wao wanaziunga mkono na hivyo wako tayari kutekeleza. Pamoja na utayari huo walitoa sababu kuwa kwa sasa haiwezekani kwa kuwa muda ni mchache tunapoelekea uchaguzi Mkuu wa oktoba 2025.

Hata hivyo baada ya kushiriki majadilianao mbali mbali kwa wadau wa Maswala ya Sheria, Katiba, Chaguzi za kidemokrasia wadau wa haki za binadamu na wa maendeleo wengi wamekuja na suluhu kuwa Kuna uwezekano wa kusogeza uchaguzi mbele.

Wakasema hili litampa Muda Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Samia Suluhu Hassan aliyeko madarakani pamoja na vyombo vingine kujipanga na kutuletea mifumo bora ya utawala.

Huko Kahama kwa Mkutano wa leo Wananchi wameonesha kuunga mkono hoja hiyo kwa 100%.
No reform no election

View: https://www.youtube.com/live/78R43Ag8GaA?si=fX6J3i3Tncf6VC_r

I find myself crying!
 
Back
Top Bottom