GE2025 Maelfu ya generation Samia wamhakikishia Samia kimbunga cha ushindi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

KIJICHO PEVU

Member
Joined
May 4, 2024
Posts
69
Reaction score
49
MAELFU YA GENERATION SAMIA WAMHAKIKISHIA SAMIA KIMBUNGA CHA USHINDI

IMG-20250809-WA1303(3).jpg

Mandhari ya Dodoma leo yamewaka moto wa shangwe na hamasa baada ya maelfu ya vijana wa Generation Samia kujitokeza kumsindikiza Rais Samia Suluhu Hassan kuchukua fomu ya kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa muhula wa 2025–2030, katika ofisi za Tume Huru ya Uchaguzi.
Viongozi wa mtandao huo wamesema kuwa msimamo wao wa kumuunga mkono Rais Samia unatokana na mafanikio makubwa aliyopata katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayogusa maisha ya wananchi moja kwa moja, hususan vijana.

Wametaja miradi hiyo kama chachu ya ajira, msingi wa kukuza ubunifu na mhimili wa kuboresha huduma muhimu za kijamii.

IMG-20250809-WA1302(3).jpg
IMG-20250809-WA1305(1).jpg
 
Attachments

  • IMG-20250809-WA1304(2).jpg
    IMG-20250809-WA1304(2).jpg
    111.1 KB · Views: 16
  • IMG-20250809-WA1306.jpg
    IMG-20250809-WA1306.jpg
    92.3 KB · Views: 14
  • IMG-20250809-WA1307.jpg
    IMG-20250809-WA1307.jpg
    117.2 KB · Views: 14
  • IMG-20250809-WA1308.jpg
    IMG-20250809-WA1308.jpg
    118.4 KB · Views: 21
MAELFU YA GENERATION SAMIA WAMHAKIKISHIA SAMIA KIMBUNGA CHA USHINDI

View attachment 3436823
Mandhari ya Dodoma leo yamewaka moto wa shangwe na hamasa baada ya maelfu ya vijana wa Generation Samia kujitokeza kumsindikiza Rais Samia Suluhu Hassan kuchukua fomu ya kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa muhula wa 2025–2030, katika ofisi za Tume Huru ya Uchaguzi.
Viongozi wa mtandao huo wamesema kuwa msimamo wao wa kumuunga mkono Rais Samia unatokana na mafanikio makubwa aliyopata katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayogusa maisha ya wananchi moja kwa moja, hususan vijana.

Wametaja miradi hiyo kama chachu ya ajira, msingi wa kukuza ubunifu na mhimili wa kuboresha huduma muhimu za kijamii.

View attachment 3436822View attachment 3436825

Huyu si kalazimisha mwenyewe akisaidiwa na wahuni kuwa mgombea? Au?
 
Akishindana na nani? 😁

Upepo......! au siyo
 
Anashindana na Nani kwani.?
 
Hebu tuone itakapofika wakati wa uchaguzi atakuwa miongoni mwa wagombea au la.
 
Safi sana vijana,
Kwa sasa furahia posho na ofa za hapa na pale.
Uchaguzi ukiisha, nawe ume kwisha
 
Back
Top Bottom