maelfu wamiminika DUCE.

Kuna watu humu wametumwa na Magamba waisifie serikali na kuficha maovu yake! Nani anakataa kuwa serikali haipasi kutoa ajira kwa vijana. Mathalani kuendeleza viwanda , kutoa fursa ya ujasiriamali, kupunguza kodi kwa wenye mitaji midogo,kuwawezesha wajasiriamali, kuacha ubinafsishaji holela,kuwa na wawekezaji wanaoeleweka n.k
 


Tatizo la makada wa ccm.

Kwanza mimi sio dada, ni kaka

Pili hujuwi nimesoma wakati gani, wa nyerere, mwinyi, mkapa au bwana dhaifu kikwete na shule za kata

Tatu nikutokana na hujuwi nimesoma wakati gani, turudi kwenye hoja yetu mambo ya kimada hufikilia watu wenye akili za makalioni kama wewe, sina muda kujadili ujinga wa aina hiyo.

Swali langu kwako niambie kama sio jukumu la serikali kutengeneza na kuandaa mazingira bora ya kujiajiri na kuajiriwa kwa vijana ni jukumu la nani na kwanini liwe la huyo utakaye mpendekeza.
 

Baada ya kukuelewesha mimi ni kaka wala si dada ulitakiwa kujibu uzushi wako, pitia post zako hapo chin na uzitolee maelezo labda ulisahau kujibu hoja ukaanza mipasho kama Rais wako kikwete. Jibu hoja wewe.


By Mwakitobile

Eti una ajira nzuri?kupitia ajira yako nzuri,umewasaidia vijana wangapi kupata ajira kama yako?alafu kwanini unitwishe majukumu ya wazazi wa hao vijana ambao wanalalamika hawapati ajira,eti niwape kompyuta!we toka uzaliwe ulishawahi kupewa kompyuta bure,tena na mtu usiyemjua?



By Mwakitobile

Mtaji siyo lazima upate kutoka benki,kwa mfano unamiliki simu au kompyuta ya thamani ya 300,000/= uza upate mtaji mdogo ambao mnaweza kuunganisha watu wawili au zaidi na kubuni biashara ndogo,ambayo mkiisimamia vizuri inaweza kuleta faida kubwa baadaye.Ndugu zangu kuweni na uthubutu,siku zinakwenda sana,serikali haina kabisa mpango na nyinyi.Kama unabisha jiulize strategic human resource planning katika government parastatals au organizations katika kuzalisha ajira mpya ni implicable katika real world.Take care.....




Hapa ndipo nilipo kuuliza swali hili hapa chin soma post yako hapo penye red, watu wanaongea facts nyinyi mnaleta utoto na mifano ya kufikirikakanusha tena si wewe ulieandika hapo.

Huo ndo ukilaza mkuu, computer umewagawia wewe bure eti? Nani kwambia vijana wanacomputer kama yako?

Watu wanashinda njaa mitaani wewe unaongelea laki tatu! are you seriously? Think before you present something to other people.

Ninakazi nzuri - yangu si yakuweza kuwasaidia au kuwaandalia vijana mamilion ajira, Jukumu hilo ni la serikali upo,

shughurisha kichwa chako. mkuu.
 
mimi sihitaji kufuga chochote nataka kukufuga wewe, mke wako na dada zako..nataka nimlime binti yako na shangazi zako..

Siku nyengine usimfundishe samaki kuogelea..waulize Ilovo wanatutambua.muulize Mo anatutambua.
Ushauri mwng umeegemea kwny kilimo,lakini sio kila mtu ana ubavu wa kupa-fomu pande hizo. Ukweli ni kwmb kuna jambo la kuthubutu serikali inabidi ilifanye kama kurekebisha baadhi ya sera zake na ucmamizi afu si wengine tufuate. Kumbuka kuthubutu ni kipaji na mafunzo,mambo hayaendi kienyeji.
 

Mazingira bora ya kujiajiri au kuajiriwa ni yapi? tuanzie hapo kwanza,maana usijekuwa unaongea kitu usichokijua,je ni taasisi au asasi gani za serikali zinazohusika kuaandaa hayo mazingira bora ya kuajiri au kujiajiriwa.Kumbuka kwa sasa serikali ipo katika Free market economy.Mwananchi yupo huru kufanya awezalo ili apate kipato,ilimradi liwe jambo la halali kisheria
 

Habari hii hakuandikwa kwenye Mwanahalisi bali ni Raiamwema na mwandishi alikuwa Karugendo.
 

In this case hakuna cha kujadili kama hufahamu maana ya mazingira bora ya kujiajiri au kuajiriwa.

No comment kaka.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…